News
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ameeleza kukerwa na kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa usafirishaji umeme wa msongo wa KV 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma. Kukamilika kwa mra ...
Delta Air Lines and United Airlines have been sued by passengers who claim they were charged extra for a window seat but found themselves sitting next to a blank wall. The lawsuits, filed separately ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendesha mafunzo kwa wafanyabiashara wa Mwanza kuhusu mabadiliko ya Sheria ya Fedha, yenye lengo la kuwaongezea uelewa na kuwakumbusha wajibu wao wa kulipa kodi kwa ...
KATIKA kile kinachoonekana kuwa hatua ya mapinduzi kuelekea uchumi wa kidijitali, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeunda kamati mbili maalumu kwa ajili ya kuchunguza, kudhibiti na kusimamia matumizi ya s ...
ZIKIWA zimesalia siku saba kabla ya kuanza kwa kampeni rasmi za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu, joto la uchaguzi linazidi kupanda huku makada wa vyama mbalimbali wakimiminika kuchuku ...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amewataka wananchi washiriki kikamilifu katika kusimamia utekelezaji wa mapendekezo yanayotolewa na ofisi yake, ili yatekelezwe k ...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo, Agosti 21, 2025, jijini Dodoma. Kikao hicho kime ...
HATUA ya wanawake 13 kujitokeza kugombea urais na nafasi ya mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu, imetajwa kuwa ishara njema ya kuonesha kukua kwa usawa wa kijinsia nchi ...
Wizara ya Afya Zanzibar imesema kuwa takribani asilimia 30 ya mama wajawazito visiwani humo wanakabiliwa na changamoto ya afya ya akili. Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya kutoka wizara hiyo, Dk. Sa ...
YOUNG Africans SC (Yanga) is facing a demanding phase of the club’s pre-season as head coach Romain Folz focuses on implementing key tactical principles for the upcoming season. According to the ...
Waliokuwa wafanyabiashara waliopanga katika jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka ...
Wananchi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wameanza kunufaika na uboreshaji wa miundombinu kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC), unaotekelezwa chini ya Wakala wa Baraba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results