MUZIKI sio tu burudani, bali pia ni sehemu ya maisha ya kila siku ya wasanii. Mistari inayoandikwa na wasanii mara nyingi hutokana na maisha yao halisi. Wasanii wengi wa Bongo Fleva wamekuwa wakitumia ...
KWA mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 35, hakuna hata wimbo mmoja wa Hip Hop ulioingia ndani ya 40 bora za ...
Raia nchini Ivory Coast leo Jumamosi wanapiga kura katika uchaguzi wa rais huku rais wa sasa Alassane Ouattara mwenye umri wa miaka 83, akiwania muhula wa nne, hatua itakayopanua utawala wake hadi ...
Kiongozi mpya wa kijeshi nchini Madagascar Kanali Michael Randrianirina ataapishwa kuwa Rais mapema Ijumaa. Amesema pia kuwa yuko tayari kwa mazungumzo na Umoja wa Afrika baada chombo hicho kuifutia ...
Msururu wa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yalikumba vitongoji katika mji mkuu wa Sudan, ikiwa ni pamoja na karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Khartoum, usiku wa kuamkia Jumatano siku ...
Kifo chake kimezua maombolezo makubwa nchini Kenya na katika mataifa mbalimbali ya Afrika, ambako aliheshimika kama kiongozi mwenye maono na msimamo thabiti. Katika historia ya siasa za Kenya, Raila ...
Celebrated Tanzanian and Kenyan artists have composed songs in honour of former Prime Minister Raila Odinga. Among the Tanzanian artists are gospel singer Christina Shusho, Diamond Platnumz and ...
Kabla ya mwisho wa wiki iliyopita, jina la Kanali Michael Randrianirina halikujulikana sana nchini Madagascar. Ungewaulizia watu kumhusu, wangekutazama bila majibu. Lakini ndani ya siku tatu, amegeuka ...
Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 38, anatarajiwa kusaini mkataba mpya na klabu ya soka ya Marekani Inter Miami. (Fabrizio Romano) Arsenal na Tottenham ni miongoni mwa vilabu vya Ligi ya Premia ...
We're now in the fall season of 2025's new anime, but the industry is showing no signs of slowing down. Fresh off Demon Slayer and Chainsaw Man's twin successes in theaters, we've got plenty of TV ...
MOJA ya mambo Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Rais Samia Suluhu Hassan, anayoahidi kuyafanya iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza nchi, ni kuanzisha mchakato wa katiba mpya ndani ya ...
KWA miaka mingi siasa za Tanzania zilikuwa na sura ya kijinsia iliyotawaliwa na wanaume, hasa kwenye nafasi za juu kama urais na makamu wa rais. Hali hiyo sasa inabadilika kwa kasi ya kusisimua. Mwaka ...